Ee Mungu Nguvu Yetu
Ee Mungu Nguvu Yetu | |
Probă muzică | |
---|---|
| |
Modifică date / text |
Ee Mungu Nguvu Yetu este imnul național din Kenya.
Versuri
modificare- Ee Mungu nguvu yetu
- Ilete baraka kwetu.
- Haki iwe ngao na mlinzi
- Natukae na udugu.
- Amani na uhuru
- Raha tupate na ustawi.
- Amkeni ndugu zetu
- Tufanye sote bidii
- Nasi tujitoe kwa nguvu
- Nchi yetu ya Kenya,
- Tunayo ipenda
- Tuwe tayari kuilinda.
- Natujenge taifa letu
- Ee, ndio wajibu wetu
- Kenya istahili heshima
- Tuungane mikono
- Pamoja kazini
- Kila siku tuwe na shukrani.